Asalaam - Salaam - Aleykum. Kwa niaba ya familia ya marehemu Tunapenda kuwajulisha kuwa mazishi ya Ndugu yetu Marehemu Baraka Kombe pichani hapo juu yatakuwa siku ya Jumamosi tarehe 9/4/2016.
Maiti itasaliwa Masjid Alnoor Cultural & Education Trust
170 Gascoigne Rd, Barking, Essex IG11 7LH
Baada ya Salah Zuhur 12:30
Msikitini kutakuwa mchanganyiko wanawake na wanaume.
Makaburini: Wanaume tu
Baadae kumsalia maiti tunaelekea makaburini ya Woodgrange Park Cemetery
(Near Woodgrange Park Station, Close to Manor Park Station)
540 Romford Road,
Manor Park
London
E7 8AF
Bus Route: 25 to Ilford
TUNAOMBA KANA INAWEZEKANA ALIYEGUSWA NA MSIBA HUU ATOE MCHANGO WAKE KWA:
MS SARA A TEMU ( Mke wa Marehemu)
SANTNDER
ACCOUNT NUMBER 46132094
SORT CODE 09 01 28
KWA TAARIFA ZAIDI NAOMBA MUWASILIANE NA :
JESTINA GEORGE +447557304940
MARIAM MBILINYI +447913978572
SARA. A. TEMU +447769711918
EMELIA MAKYAO +447983901141
Tunatanguliza Shukrani kwanza Mwenyezi Mungu
awabariki kwa Misaada yenu ya hali na mali.
awabariki kwa Misaada yenu ya hali na mali.
Inna lillahi wa inna ilayhi raji'un
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...