Ajira ni application pekee ya simu ambayo inakutafutia mtumiaji kazi and inakwambia kwa kiwango gani umekidhi mahitaji ya kazi iliotangazwa. Ajira imebuniwa hapa tanzania kwa watanzania, ni rahisi sana kutumia. Zahidi ya kukutafutia kazi mtumiaji, Ajira pia ina huduma ya mawasiliano yani messaging system ambayo inakuwezesha mtumiaji kuwasiliana na muajiri moja kwa moja kupitia application bila hata kuhitaji email au simu ya muajiri.
Ajira pia itakufahamisha kupitia simu yako kwa njia ya notification japo kazi ikitangazwa ambayo umekithi mahitaji yake. Ajira inarushwa hewani Jumatatu ya tarehe 16 mwezi huu wa mei, lakini kabla hata ya kutangaza rasmi application yetu watu wengi tayari wanaitumia na pia watu zaidi ya elfu hamsini wanatufollow kwenye social media channel zetu.
Ajira inapatikana kwenye google play store kwa kuandia "Ajira Job" au kwa kupitia link ya hapa chini
Na pia unaweza kutembelea www.ajirascore.com
kupata maelezo zaidi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...