Msanii Simon akichonga "Moyo" katika bustani ya hoteli ya Landmark mjini Tukuyu wilayani Rungwe Mkoani Mbeya. Ameiambia Globu ya Jamii kwamba kazi hiyo inampa tenda nyingi na ameweza kukimu gharama za maisha yake ya kila sikunbila wasiwasi. Zaidi ya "moyo" Simon anasem ana uwezo wa kutengeneza maumbo mbalimbali ikiwemo viti, meza na hata vitanda.
Simon akiendelea na kazi
Simon akiendelea na kazi
well done Simon....
ReplyDelete