Balozi wa Austria nchini Tanzania mwenye makazi Kenya,
Mhe. Dkt. Harald Gunther, amefanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania
nchini Kenya, Mhe. John Haule, kuhusu uimarishaji wa ushirikiano baina
ya nchi zao.
Mazungumzo hayo yaliyofanyika Ubalozi wa Tanzania Nairobi jana, yalihusu pia masuala ya uwakilishi.Austria
ni mwanachama wa Kamati ya Ufadhili wa Maendeleo (DAC), ambayo
inajumuisha nchi za Jumuiya ya Ulaya, Marekani, Japan na Australia.
Balozi wa Austria nchini Tanzania, Dkt. Harald Gunther (Kushoto) akizungumza na Balozi Haule.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...