Msanii wa Vichekesho, Mohammed Abdallah (Kinyambe) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya mkoa wa Mbeya alikokuwa amelazwa akipatiwa matibabu. Mungu amlaze mahali mahali pema peponi -Amina

CHINI NI MOJA YA KAZI ZAKE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...