KIJANA RAJAYI AYOUB MWAKILISHI WA TANZANIA KATIKA MASHINDANO YA DUNIA YA USOMAJI QUR'AN KWA TAJWEED AMESHINDA NA KULITAKATISHA JINA LA TANZANIA KATIKA ULIMWENGU WA QUR'AN.
HONGERA SANA RAJAYI AYOUB, HONGERA FAMILIA YA RAJAYI, HONGERA WAALIMU WA RAJAYI. KARIBU NYUMBANI UKIWA NA AMANI NA FURAHA. ALHAMDULILLAH.
Masha Allah! Mwenyeez Mungu akuzidishie Elimu yako na kukuruzuku Fahamuzo. Nasi umma wake wote wa kiislam In Sha Allah, atuongoze na kutujaaliya tuwe ni wenye kuisoma na kuihifadhi Qur'an. In Sha Allah - AMEEN.
ReplyDeleteMasha Allah kijana wetu wa kitanzania. Tunakusifu wewe binafsi yako, wazazi waliokuongoza mpaka hapo, Waalimu waliokufunulia ukafika hapo, wanafunzi wenzako, majirani ndugu jamaa na marafiki zako. Mimi binafsi yangu nakuombea kwa Mwenyezi Munngu akujaalie zaidi na ufanikiwe sana na uwe mfano kwa vijana wenzako na mfano wakuigwa na kila mtu. Insha Allah kheir
ReplyDelete