SIMU.TV: Zanzibar yatuma salamu za rambirambi nchini Oman kufuatia kifo cha balozi Alli Abdallah Rashid aliyekuwa balozi wa Oman nchini; https://youtu.be/EkPxMtEvaXM
SIMU.TV: Serikali ya Zanzibar imeeleza kuwa ina matarajio makubwa na ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka DPP kwatokana na kuwa ofisi hiyo inawagusa wananchi moja kwa moja; https://youtu.be/n_DVLTXeiJk
SIMU.TV: Serikali yaweka wazi mkakati wake wa kuongeza wawekezaji kutoka sehemu mbalimbali ili kuweza kuwainua kiuchumi wafugaji na wakulima;https://youtu.be/Ij2E9SdPoDo
SIMU.TV: Hospitali ya Mnazi mmoja Zanzibar yapokea msaada wa vifaa mbalimbali ikiwemo mashine ya kusaidia kupumua kwa wodi ya wazazi;https://youtu.be/kOBVklfFAFg
SIMU.TV: Mamlaka ya mapato Zanzibar ZRB yaanzisha utaratibu wa kodi ya zuio ili kubaini viwango vya mauzo ya wafanyabiashara; https://youtu.be/TIktShGqt4w
SIMU.TV: Tatizo la msongamano mkubwa katika wodi ya watoto katika hospitali ya Rorya mkoani Mara lapatiwa usingizi baada ya kupata msaada; https://youtu.be/Isd_TEsuxTs
SIMU.TV: Watanzania waungana na kufanya ibada kwaajili ya kumbukumbu ya wahanga wa ajali ya meli ya Mv Bukoba. https://youtu.be/PsvQE3y5PDw
SIMU.TV: Bodi ya ligi kuu na TFF kufanya marekebisho ya mapungufu katika viwanja vya soka nchini baada ya ligi kuu kumalizika; https://youtu.be/jXWceOuvKlY
SIMU.TV: Jeshi la kujenga taifa JKT mgulani limepokea msaada wa ulingo wa ngumi wenye thamani ya Sh.Mil.22 ili kuendeleza mchezo huo nchini; https://youtu.be/hxOZ4JYlbRg
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...