SIMU.TV: Mhe.Suleiman Jafo atoa kauli ya serikali juu ya ombi la halmashauri ya Rungwe la kuongezewa bajeti ya ujenzi wa barabara.  https://youtu.be/hXP6mZ7W1Lg
SIMU.TV: Mhe.Hamad Masauni  akijibu swali la mbunge wa vunjo juu ya utekelezaji  sera ya uwezeshaji katika kambi za majeshi ya magereza.   https://youtu.be/Bjcg3id1OzQ
 SIMU.TV: Mbunge wa Biharamuro Mhe.Rwegesira Oscar aitaka serikali kuweka suluhisho wa kudhibiti ajali za barabarani.  https://youtu.be/7g3BJ811F7s
 SIMU.TV: Mhe.Richard Mbogo aitaka serikali kutaja siku ambayo serikali itapeleka fedha kwaajili ya kukamilisha  chaguzi za serikali ya mitaa Nsimbo.  https://youtu.be/NMENQ9UYghI
 SIMU.TV: Sikiliza kauli ya serikali juu ya mfumo wa ndege ndogo za kubeba abiria kuongozwa na rubani mmoja ikilinganishwa na ndege kubwa.  https://youtu.be/TEm1Vl6mH8I
 SIMU.TV: Mhe.Martin Mtonda aihoji serikali juu ya hali ya kituo cha radio cha TBC tarafa za Mbinga kushindwa kurusha matangazo ya bunge.  https://youtu.be/qeXbIEys1PE
 SIMU.TV: Mhe.Mendard Kigola aihoji serikali juu ya ujenzi wa barabara ya Igogolo- Kibao kwa kiwango cha lami licha ya upembuzi yakinifu kufanyika.  https://youtu.be/mmK0p1c9sg4
 SIMU.TV: Hii ndiyo kauli ya serikali juu ya utatuzi wa changamoto ya maji safi na salama katika wilaya ya Songwe na vitongoji vyake.  https://youtu.be/EP4-YY7dkeE
 SIMU.TV: Je ni lini serikali itatekeleza sera ya viwanda mkoani Simiyu? Waziri Charles Mwijage anatoa majibu ya serikali .  https://youtu.be/MfQ7UNbYY8I

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...