SIMU.TV: Mbunge wa Maswa mashariki Mhe. Nyongo aihoji serikali juu ya vigezo vilivyotumika kuamua makao makuu ya mkoa Simiyu kuwa Bariadi badala ya Maswa. https://youtu.be/qyxj9vjDYNk
SIMU.TV: Baadhi ya abiria wanaotumia mabasi yaendayo haraka wamezishauri mamlaka husika kuweka jenereta ili kutoa huduma za ukataji tiketi pindi umeme utakapokatika;https://youtu. be/Y0BWiOx76j8
SIMU.TV: Vijana 76 wenye umri kati ya 16 wanaojihusisha na kundi la uporaji Panya Road wametiwa mbaroni na jeshi la polisi. https://youtu.be/YhPwjT8Jq-4
SIMU.TV: Haya hapa majibu ya serikali juu ya namna itakavyoweza kuwasaidia wakulima wa tumbaku mkoani Tabora ikiwa mkoa huo hauna viwanda.https://youtu.be/tJLiun48aNk
SIMU.TV: Je serikali iko tayari kufuta uamuzi uliotolewa na mkuu wa mkoa wa Manyara wa kuwazuia wakulima ili kuondoa migogoro ya ardhi? https://youtu.be/oN2CigQ5alY
SIMU.TV: Mhe. Sixtus Mapunda ataka serikali kulinda soko la wakulima wadogo wa kahawa kufuatia ongezeko la wakulima wakubwa wa zao hilo. https://youtu.be/3b4aWW2f5iM
SIMU.TV: Mh.Norman Sigara aitaka serikali kuboresha miundombinu ya barabara ili kuunganisha mkoa wa Njombe na Mbeya. https://youtu.be/bNbx5-SsS8Q
SIMU.TV: Sikiliza kauli ya serikali juu ya ujenzi wa vituo vya polisi Liwale na nyumba za askari ambao bado wanaishi nje ya kambi za polisi. https://youtu.be/YbTSdTnMvuQ
SIMU.TV: Fahamu mambo mengi kutoka kwa mkuruenzi wa urejeshaji wa mikopo akikujuza kuhusu changamoto za urejeshaji wa mikopo ya elimu ya juu:https://youtu.be/cyrhLYJbjaI
SIMU.TV: Jifunze mambo mengi kutoka kwa mwanasheria wa TAMWA akikufahamisha kuhusu masuala ya mimba za utotoni. https://youtu.be/BvMac17KaqI
SIMU.TV: Fahamu mambo mengi kutoka kwa mkuruenzi wa urejeshaji wa mikopo akikujuza kuhusu changamoto za urejeshaji wa mikopo ya elimu ya juu. https://youtu.be/FFnV--kXuso
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...