SIMU.TV: Mhe.Saumu Sakala aitaka serikali kuwawajibisha wafanyabiashara wanao lazimisha wakulima kufunga bidhaa zao kwa lumbesa   https://youtu.be/veCIWKcD5zM

SIMU.TV: Mhe. Mbowe aibua upya suala la uhaba wa sukari bungeni, sikiliza kile alichokijibu waziri mkuu Mhe.Kassim Majaliwa juu ya suala hilo; https://youtu.be/vzwYafh7OMQ

SIMU.TV: Je una uelewa gani juu ya utoaji wa elimu bure nchini? Msikilize Mhe.Kassim Majaliwa akitoa ufafanuzi wa kina juu ya suala hilo; https://youtu.be/dQUGftjJTOI 

SIMU.TV: Fahamu kauli ya serikali juu ya changamoto zilizopo halmashauri  katika kutekeleza maagizo ya serikali kuu; https://youtu.be/VW6wCuiFlNU 

SIMU.TV: Kiongozi wa kambi kuu ya upinzani bungeni. Mhe.Mbowe aibana serikali juu ya muingiliano wa maelekezo katika halmashauri nchini;  https://youtu.be/nbZxjcO5rEE

SIMU.TV: Mhe.Peter Lijualikali aitaka serikali kuboresha miundombinu wilayani Kilombero ili kuwezesha usafirishaji wa mazao; https://youtu.be/SAX0Rs0xEOo    

SIMU.TV: Fahamu sheria za nchi juu ya suala la kujaza abiria kwenye magari kupita uwezo wake kama inavyoelezewa na Mh.Hamad Masauni; https://youtu.be/3sqPRS_2vuE

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...