Wadau
wa Mawasiliano Kanda ya Ziwa, wakiwa katika picha ya pamoja katika
Semina juu ya utoaji wa elimu juu ya simu bandia (fake) na halali
(orginal) ulioandaliwa na TCRA, kabla ya kusitisha matumizi ya simu
bandia mwezi ujao.
Mamlaka
ya Mawasiliano nchini (TCRA), imeendelea kuwakumbusha watumiaji wa simu
za mkononi kuhakiki simu zao kabla mamlaka hiyo haijazima simu bandia
ifikapo Juni 16 mwaka huu.
Soma Zaidi HAPA


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...