Na Geofrey Chambua
Kikisemekana kimehimili changamoto za kitaaluma duniani ni chuo pekee cha kishirikina kilichopo Africa ambacho kimeweza kudumu kwa zaidi ya miaka 1000.
Inasemekana wanafunzi wake hukipatikana kwa njia ya ajabu kabisa ya kuletewa ujumbe ndotoni! Chuo hiki kimeweza kujipambanua kwa upekee ila mpaka sasa haijulikani ni wapi hasa kipo chuo hiki kwenye ardhi ya Africa japo inawezekana na kusemakana ama kiko Zambia au karibu na hapo. Kuna watu wengi sana ambao wangependa kujifunza elimu hii adhimu na adimu fanyeni juhudi kukitafuta hiki chuo kwenye elimu ya ushirikina na ulozi duniani hiki chuo kinaheshimika mno.




naomba munisaidie jaman; nini maana ya ulozi ndotoni?? mana nasikia2 mitaani.
ReplyDelete