Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein akizungumza na wanachama cha Mapinduzi CCM na Viongozi wa Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja leo wakati alipokua akiwapongeza wanachama hao na kuwashukuru baada ya ushindi wa Uchaguzi marudio uliomalizika mwezi wa Machi mwaka huu,mkutano ulifanyika leo katika ukumbi wa Azao Resort &SPA Zanzibar Pongwe Wilaya ya Kati,(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai.
 Wanachama cha Mapinduzi wa Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja wakinyoosha mikono juu kuunga mkono hotuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein,wakati alipokua akiwashukuru kuwapongeza wanachama hao baada ya ushindi wa Uchaguzi marudio uliomalizika mwezi wa Machi mwaka huu,katika mkutano ulifanyika leo katika ukumbi wa wa Azao Resort &SPA Zanzibar Pongwe Wilaya ya Kati
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein wakati walipokuwa akizungumza na wananchi na viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kati Unguja alipowapongeza na kuwashukuru kwa ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu wa marudio uliofanyika Mwezi machimwaka huu katika ukumbi wa Azao Resort &SPA Zanzibar Pongwe Mkoa wa Kusini Unguja 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...