Balozi wa Huawei Brenda Muchunguzi(Kushoto) akimuonyesha mteja wa Huawei Bw. Wilson Tendwa(Kulia) ubora wa simu mpya ya GR5 katika duka la Huawei lililopo J Mall Dar es Salaam.
Balozi wa Huawei Brenda Muchunguzi(Kushoto) akimuonyesha mteja wa Huawei Bw. Wilson Tendwa(Kulia) ubora wa camera ya simu mpya iliyozinduliwa ya GR5 katika duka la Huawei lililopo J Mall Dar es Salaam.
Balozi wa Huawei Jamila Feruz (Kulia) akimuonyesha mteja wa Huawei Bw. Jacob Kaiza (Kushoto) ubora wa simu mpya iliyozinduliwa ya GR3 katika duka la Huawei lililopo City Mall Dar es Salaam.
Huawei kukidhi mahitaji ya kizazi kipya na simu zenye gharama nafuu.
Dar es Salaam, Juni 2016: Baada ya mafanikio katika uzinduzi wa simu inayodumu na chaji kwa zaidi ya masaa 90 ya Y6 Pro nchini Tanzania hivi karibuni; Huawei, kinara wa uvumbuzi ulimwenguni katika mawasiliano na teknolojia, wamezindua simu mbili za bei nafuu, Huawei GR 3 na GR 5 katika soko la Tanzania mwezi huu. Miongoni mwa bidhaa zingine, simu hizi zinalenga vijana na watu mbalimbali nchini Tanzania ambao wanakuwa na shughuli nyingi kwa siku.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...