Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akitoa hotuba kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam katika kilele cha siku ya kimataifa ya kuongeza uelewa kuhusu ualbino  maadhimisho hayo yanafanyika katika viwanja vya mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo.
Omary Mfaume akitoa maelezo kwa wananchi mbalimbali (hawapo pichani) waliohudhuria kilele cha siku ya kimataifa ya uelewa kuhusu Ualbino katika viwanja vya mnazi mmoja,leo jijini Dar es salaam.
Baadhi ya warembo wa miss Albino wakiwa katika maadhimisho ya siku ya  kilele ya kimataifa ya uelewa kuhusu Ualbino katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo.
 Sehemu ya wananchi waliohudhuria katika kilele cha siku ya kimataifa ya kuongeza uelewa kuhusu ualbino,wakifuatilia mambo yanayojiri katika viwanja vya mnazi mmoja leo jijini Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...