Ni mwaka mmoja bila wewe katika maisha yetu ya kila siku ,tunakukumbuka daima.
UPENDO uliotuonyesha katika maisha ya kila siku,hatuna la kusema,umetuacha tukiwa bado tunahitaji mawazo yako.
Tunamshukuru Mwenyezi MUNGU kwa muda wote uliokuwa nasi.
Daima tutaendelea kukukumbuka hekima na busara zako huku tukiwa na tumaini la kuwa siku moja tutaonana nawe.
Daima unakumbukwa na Mumeo Julius,mwanao John,Mama yako,wifi zako,shemeji zako,Dada na kaka zako,Maraafiki,majirani wa Bahari Beach na Ubungo Kibangu na watu wote waliokufahamu ktk uhai wako.
Misa ya kumuombea Marehemu itafnyika ktk kanisa la Mt. Andrea liliopo Bahari Bech – DSM tarehe 12/06/2016.
Wote mnakaribishwa.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...