DAKTARI MSHAURI MWANDAMIZI MAGONJWA YA MOYO  HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MOROGORO NA MHADHIRI WA CHUO KIKUU CHA MTAKATIFU FRANCIS, DKT HARUN NYAGORI AMEALIKWA KUIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA WATAALAMU WA MAGONJWA YA MOYO DUNIANI UNAOFANYIKA NCHINI MEXICO.
TUKIONGEA NAYE KWA MAWASILIANO YA TEKNOLOJIA DKT NYAGORI ALIKUWA MTANZANIA WA KWANZA MWAKA JANA KUPATA TUZO YA KIMATAIFA NCHINI UINGEREZA NA KUTAMBULIWA NA SHIRIKISHO LA MADAKTARI BINGWA WA MARADHI YA MOYO BARANI ULAYA.

AMESEMA MADA YA MKUTANO HUO UNAOFANYIKA NCHINI MEXICO NI KUPUNGUZA KASI YA VIFO VYA WAGONJWA WANAOKUFA KWA MARADHI YA MOYO HASA KUSINI MWA NCHI ZA KUSINI MWA AFRICA KAMA TANZANIA KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA KISASA NA NAMNA YA KUWAFIKIA HAO WAGONJWA.















WADAU MBALIMBALI WAMEMPONGEZA DR HARUN NYAGORI KWA KUPATA NAFASI HIYO AMBAYO TANZANIA IMEPIGA HATUA SASA YA KUFANYA UPASUAJI WA WAGONJWA WA MOYO WENYE MATATIZO MAKUBWA YALIYOHITAJI  KUTIBIWA NJE YA NCHI SASA HUDUMA HIZO ZINAPATIKANA TANZANIA.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Congrats brother, hakika wewe ni hazina kubwa Kwa nchi yetu

    ReplyDelete
  2. Hongera Dear hongera sanaaa kwa kazi nzuri uliyoifanya......Mungu aendelee kukusaidia ufanye na zaidi na zaidi keep it up 🙏

    ReplyDelete
  3. Congrats Dr. Harun,may you continue to serve the people of God. We Will always salute you...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...