Ndege ya Precision Air ikitokea Kilimanjaro kuelekea Dar es salam kupitia Zanzibar usiku wa Alhamisi ili pata hitilafu ya injini yake moja kushika moto wakati ikitaka kuruka Uwanja wa Kimataifa wa Karume wa Zanzibar na kupelekea abiria kushuka haraka na kurejea sehemu ya mapokezi. Hakuna madhara ambayo yameripotiwa na abiria wote walishuka salama,
Kwa mujibu wa shuhuda wa tukio hilo, mojawapo ya injini ilishika moto na kulazimisha marubani kusimamisha ndege na kuirudisha sehemu ya kupakia abiria, baada ya kuchukua hatua za dharura za kuuzima moto huo kabla ya kuleta madhara.
Kampuni ya Precision imethibitisha tukio hilo na hii hapa tarifa yake rasmi:
Kampuni ya Precision imethibitisha tukio hilo na hii hapa tarifa yake rasmi:



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...