ASSALAAM ALAYKUM WARAHMATULLAH WABARAKATU
Madrasat Rahman iliyopo Segerea mwisho, Dar es salaam tunasikitika kutangaza kifo cha mwanafunzi wetu marehem Bi.Salama Bint Juma Nyambi (pichani kushoto mwenye gauni la bluu na mtandio mweupe). Msiba upo Segerea mwisho kwenye mtaa wenye madrasat Rahman. Maziko ni Jumamosi 18.7.2016
Allah amlaze mahala pema peponi- Amiin



Inna Lillahi Wainna Ilayhi Rajiuna. Ulale pema peponi Bi Salama Bint Juma Nyambi na MOLA akughufirie kwa yote akupumzishe katika yake 'Jannatu Nnaeem' AMEN.
ReplyDelete