Meneja Rasilimali Watu Mafunzo wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA), Abdul Mkwizu (kulia) akimpa maelezo kuhusu mafunzo Ally Zongo Mfanyakazi wa taasisi hiyo, kwenye maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2016.
(PICHA NA K-VIS MEDIA/KHALFAN SAID).
 Afisa Rasilimali Watu Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA), Fatma Matimba, akifanya kazi ofisini kwake jijini Dar es Salaam, wakati wa kilele cha siku ya Utumishi wa Umma ambapo mwaka huu, maadhimisho hayo yamefanyika mahala pa kazi ambapo wananchi pamoja na wafanyakazi wa taasisi husika walipata fursa ya kujipatia elimu ya shughuli mbalimbali zifanywazo na taasisi husika.
Afisa Rasilimali Watu Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA), Fatma Matimba (kushoto) akitoa ufafanuzi juu ya upandishaji vyeo kwa wafanyakazi Omari Hazaa (katikati) na Yusuph Mahadhi (kulia), ikiwa ni mwendelezo wa maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma, 2016. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...