Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE), Prof. Emanuel Mjema
wakati akifungua mkutano wa wadau mbalimbali wa kujadili program mpya mbili za
masomo katika ngazi ya Shahada ya Uzamili katika Biashara ya Kimataifa na Ugavi, Usimamizi mfumo wa uzalishaji na
usambazaji, zinazotarajiwa kuanza kutolewa na chuo hicho.
Mmoja wa washiriki wa Mkutano huo akichangia wakati wa Mkutano huo.
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya
Biashara (CBE), Prof. Emanuel Mjema akiwa katika picha ya pamoja na wadau mbalimbali waliohudhuria katika chuo
hicho kujadili program mpya mbili za masomo katika ngazi ya Shahada ya Uzamili katika
Biashara ya Kimataifa na Ugavi, Usimamizi
mfumo wa uzalishaji na usambazaji, zinazotarajiwa kuanza kutolewa na chuo
hicho.
Na.Aron Msigwa – Dar es salasam.
Tanzania bado inahitaji wataalam waliobobea
katika Biashara ya Kimataifa na wale wanaosimamia mfumo wa uzalishaji,
usambazaji na utunzaji wa bidhaa mbalimbali
hususan mazao ya chakula ili kukabiliana na changamoto zinazojitokeza katika uagizaji, utunzaji, usambazaji na kuharibika kwa mazao inayowakumba wafanyabiashara
kabla ya kufikisha bidhaa zao kwa walaji.
Kusoma zaidi bofya HAPA.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...