Katika Kuonesha Mshikamano Upendo na Umoja Miongoni Mwa Waja wa Mwenyezi Mungu, Wakulima Masikini Waislamu Kwenye Kitongoji Gojra Jimbo la Punjab Huko Nchini Pakistan wamechangia Ujenzi wa Kanisa Kwa Wakristo Waliokua Wanaabudu Nje ya Makazi Yao kama wanavyoonekana Pichani.
‘A church is also a house of Allah;
praying is what matters.
We worship the same God’



Ngumu kumeza hii story. Kwa Pakistan si ajabu walijenga hilo kanisa siku waumini wakianza kulitumia wakalilipua!
ReplyDeleteDONT BE NEGATIVE MDAU...HONGERA SANA WALIOJITOLEA. SADAKA NZURI HIYO UKIZINGATIA TUPO KATIKA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU. MADHEHEBU YAPO TU MWISHO WA SIKU MUNGU WETU NI MMOJA. HAKUNA MUNGU WA WAISLAM WALA WAKRISTU.
ReplyDelete