Mchezo wa SAKASAKA unaoendeshwa na kituo cha EFM redio umeanza rasmi siku ya jumapili ya Juni 12,2016 pale viwanja vya Mcanada, Tegeta ukiwahusisha wakazi wa wilaya ya Kinondoni.
Kiasi cha shilingi milioni 3 taslimu zimetolewa kwa washindi 12 ambapo mshindi wa kwanza aliondoka na milioni mbili, wapili na watatu laki mbili, mshindi wanne hadi wasita laki moja na washindi sita wa mwisho kupata elfu hamsini kila mmoja.
Baadhi ya picha za washiliki wakisaka kitu kilichofichwa.
Umati wa watu waliohudhuria sakasaka katika viwanja vya Mcanada,Tegeta.
Meneja matukio na mawasiliano Neema Godlays Mukurasi (kushoto) akimkabidhi mshindi mmojawapo wa sakasaka.
Mshindi wa kwanza Rashid Saleh Sengela (katikati) akisubili kupokea pesa yake baada ya kushinda shilingi milioni mbili taslimu.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...