Waziri wa Mazingira January Makamba akihutubia Wananchi waliojitokeza katika kilele cha Siku ya Mazingira katika Viwanja vya Mwembe yanga Jijini Dar es Salamm. 
Waziri wa Mazingira January Makamba akionesha Ufundi wa Kuzima Moto, ikiwa ni shamrashamra za Kilele cha Siku ya Mazingira katika Viwanja vya Mwembe yanga Jijini Dar es Salaam.
Wananchi Wakipita Mbele ya Mgeni Rasmi kuonesha zana za Kufanyia Usafi....
Waziri wa Mazingira January Makamba akifurahia jambo na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam Ramadhani Madabida mara baada ya kuwasili viwanja vya Mwembe yanga.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 06, 2016

    Yote sawa,lakini agenda ya kupiga marufuku matumizi na vifungashio vya plastic inakwenda kuua viwanda na ajira nchini.
    Jiulize,ni kwanini nchi za magharibi ambazo ndio waanzilishi wa agenda hii hawaja implement total ban ya plastic bags? walichokifanya Wanatumia njia za ku impose taxes, recycling programs ambazo kimsingi zimeongeza ajira na pato la taifa.zaidi wakati wao wanaongelea kucontrol mifuko lini ya plastic (shopping bags) only.sisi tunajiingiza chaka na kukataza mpaka vifungashio vya plastic - ambavyo bila kubagua vinahusisha chupa za plastic,sachets,plastic bags, plastic packets etc.
    Hii itasababisha cost of production nchini kwenda juu na kufanya bidhaa kutoka njee kuwa more competitive kuliko zitakazokuwa zinazalishwa nchini.Naimani,Kenya na Uganda wwanashangilia na kusubiri kwa hamu January 2017 ifike ili wawe na soko la wazi nchini mwetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...