Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda akimsikiliza Kelvin Agustino mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke alipokuwa akisoma kitabu cha Kiingereza wakati alipoitembelea shule hiyo hivi karibuni ili kuwasalimia wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo.
  Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda akiongea na wanafunzi  wa darasa la kwanza wa shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke wakati alipoitembelea shule hiyo hivi karibuni ili kuwasalimia wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo.
 Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda akiwauliza maswali wanafunzi wa shule ya awali wa shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke wakati alipotembelea shule hiyo hivi karibuni ili kuwasalimia wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo.
 Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda akimsikiliza Glorius Nkinda ambaye ni mwanafunzi wa darasa la kwanza  katika shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke wakati akijibu swali la Hesabu alilomuuliza. Mhe. Pinda alitembelea shule hiyo hivi karibuni kwa ajili ya kuwasalimia  wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo.
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda akiwa katika picha ya pamoja na walimu pamoja na wanafunzi wa darasa la tatu wakati alipoitembelea  shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke wakati alipotembelea shule hiyo hivi karibuni ili kuwasalimia wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...