Waziri wa Afya(SMZ), ambaye pia ni mgeni Rasmi, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, akisalimiana na Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni ambaye pia ni mchezaji wa timu ya maveterani ya Kikwajuni,  Mhe. Nassor Salim Jazeera, muda mfupi kabla ya mchezo wa ufunguzi wa Ligi ya Masauni-Jazeera, iliyofanyika katika Uwanja wa Mnazi Mmoja, Zanzibar. 
 Waziri wa Afya(SMZ), ambaye pia ni mgeni Rasmi, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, akisalimiana na wachezaji wa timu ya Kikwajuni juu, wakati wa ufunguzi wa Ligi ya Masauni-Jazeera, iliyofanyika katika Uwanja wa Mnazi Mmoja, Zanzibar.
Watazamaji wakifuatilia mchezo wa ufunguzi wa Ligi ya Masauni-Jazeera, kati ya Timu ya Maveterani na Timu ya Kundi la G1, uliofanyika katika Viwanja wa Mnazi Mmoja,Zanzibar.
(Picha na Mpiga Picha Wetu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...