Mkurugenzi Uendeshaji wa Azania Bank, Nurdin Semnangwa akizungumza katika hafl fupi ya kukabidhi hundi ya shs. milioni 6 kwa Mfuko wa Maendeleo wa Kondoa (KDF) jijini Dar es Salaam itakayosaidia ununuaji wa madawati katika Wilaya za Kondoa na Chemba mkoani Dodoma.
(Picha na Francis Dande)
Mkurugenzi Uendeshaji wa Azania Bank, Nurdin Semnangwa (katikati) akizungumza katika hafla ya kukabidhi hundi ya Shs milioni 6 kwa Mfuko wa Maendeleo wa Kondoa (KDF).
Mkurugenzi Uendeshaji wa Azania Bank, Nurdin Semnangwa (wa pili kulia), akimkabidhi mfano wa hundi ya Shs. Milioni 6 Mwenyekiti wa Mfuko wa Maendeleo wa Kondoa (KDF), Balozi mstaafu Cyprian Majengo.
Kukabidhi mfano wa hundi.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...