Vikao vya jana na leo (05.07. 2016) vimekuwa vya mafanikio makubwa yakiwemo;
(1) Kampuni ya CNOOC (China) na TULLOW (UK) zimekubali kushiriki kwenye ujenzi wa Bomba hili.
(1) Kampuni ya CNOOC (China) na TULLOW (UK) zimekubali kushiriki kwenye ujenzi wa Bomba hili.
Hapo awali Makampuni haya 2 yalikuwa yakiunga mkono Bomba la Kenya. Kwa hiyo Timu ya ujenzi wa Bomba imekamilika
(2) Jina la Bomba ni: East African Crude Oil Pipeline (EACOP).
---------------------------
UMEME VIJIJINI - WANANCHI WANAKUMBUSHWA KUTUMA TATHMINI ZAO ZA MIRADI YA REA: Wizara ya Nishati na Madini itafanya tathmini ya MIRADI YA REA siku ya Alhamisi, 07.07.2016.
Watakaofanyiwa tathmini ni WAKANDARASI, WAFANYAKAZI WA REA na TANESCO. Tuma maoni yako kupitia: pa_mem@mem.go.tz au Box 2000 DSM. REA AWAMU ya III - tunazo fedha nyingi, zaidi ya Tshs Trilioni 1. kwa hiyo maoni yako ni muhimu sana. Tusilalamike bila kutoa maoni.
UJUMBE KUTOKA KWA WAZIRI WA NISHATI NA MADINI,
PROF S. MUHONGO



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...