Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mrishom Mpoto, (kushoto), akimuhudumia mwanachama huyu aliyefika banda la Mfuko huo lililoko jengo la Wizara ya Fedha na Mipango kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Julai 5, 2016 ambako kunafanyika maonyesho ya 40 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam. Mfuko huo umezidi kujizolea wanachama wapya na hivyo kuongeza idadi ya wachangiaji. (PICHA NA K-VIS MEDIA/Khalfan Said)

Joseph Lyimo, (kushoto), Afisa Mkuu wa Mawasiliano wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, akimkabidhi kadi ya uanachama mwanachama Gilbert Nsumba, kwenye banda la Mfuko huo wakati wa maonyesho ya  40 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Julai 5, 2016


Afisa Operesheni Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kitengo cha ulipaji mafao, Murwa Clara Kihore, (kulia), akiwapa maeelzo wanachama hawa wa PSPF Maafisa wa polisi, kuhusu masuala yahu uchangiaji na michango kwenye Mfuko wa Pensheni wa PSPF, kwenye banda la Mfuko huo kwenye viwanja vya Mwalimu Nyerere jingo la Wizara ya Fedha na Mipango Julai 5, 2016


Afisa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Catherine Salema, akimkabidhi kadi ya uanachama wa Mfuko huo kupitia mpango wa uchangiaji wa hiari (PSS), Mtashobya E Mukebezi, kwenye banda la Mfuko huo wakati wa maonyesho ya  40 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Julai 5, 2016



Lupakisye Mwaipungu, (kushoto), Afisa Kumbukumbu  wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF, aimkabidh kadi ya uanachama wa Mfuko huo kupitia mpango wa PSS, Paulo Elisa Kiombo kwenye banda la Mfuko huo wakati wa maonyesho ya  40 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam Julai 5, 2016.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...