HABARI ZILIZOTUFIKIA MUDA HUU NI KWAMBA MOTO MKUBWA UMEZUKA HIVI SASA KWENYE SEHEMU YA GEREJI ZA MAGARI JIRANI NA KLABU YA YANGA JANGWANI JIJINI DAR ES SALAAM. KIKOSI KAZI KIMEELEKEA HUKO NA TUTAWAJULISHA KINACHOENDELEA MARA BADA YA KUPATIKANA TAARIFA KAMILI.
STAY TUNED....
Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika.
Moto ukiendelea kuteketeza baadha ya vifaa mbalimbali vya magari kama Injini, kibini na  matairi.
Kijana ambaye jina lake halikupatikana mara moja akiuzima moto unaoteketeza vifaa mbalimbali vya magari jijini Dar es Saalam leo.

Kikosi cha Polisi cha Zimamoto wakizima moto katika eneo la tukio kwenye gereji iliyopo karibu na jengo la Klabu ya Yanga maarufu kama kwa msambaa jijini Dar es Salaam muda huu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...