Habari zimetufikia muda huu zinasema msafara wa Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Harrison Mwakyembe umepata ajali ambapo gari la DPP limepata ajali na kupinduka baada ya tairi la mbele kulia kupasuka. Eneo Ni Bwanga na msafara unaelekea Chato kutokea Geita.
Habari zainasema gari hilo limeishainuliwa na safari inaendelea.Chanzo cha ajali hiyo kinaelezewa kuwa ilikuwa kuwakwepa watoto wawili waliovuka barabara ghafla na bila tahadhari.
Dereva na Abiria wote akiwemo Mkurugenzi wa makosa ya jinai Mhe. Biswalo Mganga na msaidizi wake inasemekana wametoka salama.

Pole zao. Ila habari inajichanganya, tairi la mbele kulia kupasuka au kukwepa watoto? Nadhani si vizuri kuandika sababu za ajali kwa kuhisi ni vema kusubiri uchunguzi wa wataalamu.
ReplyDeleteChanzo cha ajari sijaelewa, kupasuka kwa tairi au kukwepa waenda kwa miguu. Service za haya magari Ni muhimu sana
ReplyDelete