Mkurugenzi Idara ya Uratibu Maafa Ofisi ya Waziri Mkuu, Brg. Jen, Mbazi Msuya akizungumza jambo wakati wa kikao na wadau wa masuala ya Menejimenti ya maafa kutoka Umoja wa Mataifa (UN) katika ofisi yake tarehe 05 Julai, 2016.
Mhandisi wa Idara ya Uratibu wa Maafa Bw.Fanuel Kalugendo akizungumza jambo wakati wa kikao cha kujadili masuala ya upunguzaji athari za maafa na wadau kutoka Ofisi za Umoja wa Mataifa katika Julai 5, 2016 Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua (wa kushoto) akiteta jambo na wadau wa masuala ya Menejimenti ya Maafa kutoka Ofisi za Umoja wa Mataifa Katikati ni Mwakilishi mkazi Umoja wa Mataifa Bw. Alvaro Rodriguez na Mratibu Bi. Mona Folkesson Julai 5, 2016.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua (watatu kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Idara ya Uratibu wa Maafa na wadau wa masuala ya Maafa kutoka Ofisi za Umoja wa Mataifa mara baada ya kujadili masuala ya menejimenti ya Maafa Ofisini hapo Juali5, 2016.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)






Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...