.Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki Ulisubisya (katikati) akizungumza katika ufunguzi wa Mkutano wa Madaktari wa Mifupa wa Watoto Duniani ambapo Mkutano huo umeratibiwa na Serikali ya Uturuki kupitia balozi wake Nchini Tanzania kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Afya na Taasisi hiyo, kulia ni Balozi wa Uturuki nchini, Yasemin Eralp na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa, Ajali na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu muhimbili (MOI) Dk. Othmani Kilolima.
Profesa Inan Muharrem (kulia) akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa, Ajali na Upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya Fahamu muhimbili (MOI) Dk. Othmani Kilolima picha ya iliyochorwa 
.Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki Ulisubisya akizungumza jambo katika Mkutano huo uliofantika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI).
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki Ulisubisya katika picha ya pamojana Madaktari Bingwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...