Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei (wa pili
kushoto) akiangalia moja kati ya mashine za Visima huku akisikiliza
maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa mkuu wa Idara ya Masoko wa Kampuni ya
Property International Ltd, Masoud Khalfan (wa pili kulia), wakati
alipotembelea Banda la kampuni hiyo kwenye Maonesho ya 40 ya Biashara ya
Kimataifa kwenye Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam
(Sabasaba) Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo,
Abdulhaleem Zahran na (kulia) ni Afisa Habari wa Kampuni hiyo Saleh
Omar. Picha na Mafoto Blog

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Abdulhaleem Zahran (kushoto)
akimfafanulia jambo Dkt Kimei ndani ya Banda la Property Internatioanal.
Kulia ni Afisa Habari wa Kampuni hiyo Saleh Omary.

akimunesha Dkt. Kimei, baadhi ya michori ya kazi zilizofanywa na kampuni
hiyo. Kulia ni Afisa Habari wa Kampuni hiyo Saleh Omary.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...