Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto,Mhe.Ummy Mwalimu akifanya mazungumzo na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Jasem Al- Najem, aliemtembelea ofisini kwake jijini Dar es salaam. Katika mazungumzo yao Balozi Al-Najem ameahidi kuendeleza uhusiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na Kuwait katika kusaidia sekta ya Afya kwenye maeneo ya huduma ya Afya ya mama na mtoto upande wa upatikanaji wa vifaa vya kujifungulia(Delivery Kits) vitakavyotolewa kwa wajawazito bila malipo, dawa na vifaa tiba pamoja na kutoa mafunzo kwa madaktari kwa kubadilishana wataalam kwa kipindi maalum.
Aidha Balozi huyo ameahidi kuisadia taasisi ya ya Moyo ya Jakaya Kikwete ili kuboresha utoaji wa huduma
Home
Unlabelled
KUWAIT KUISAIDIA SERIKALI YA TANZANIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...