Familia ya Marehemu Mzee Nestor Rwechungura Kabumbire.inapenda kuutaarifu umma kuwa kuwa Maziko ya Baba yetu mpendwa Mzee Nestor R. Kabumbire yatafanyika Leo saa kumi jioni katika makaburi ya Capri point jijini mwanza
(Kuzaliwa 01.07.1931_kufa 01.07.2016)
Bwana alitoa, Bwana alitwaa. Jina lake lihimidiwe
Amina



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...