Mchezo wa saka saka unaoendeshwa na kituo cha Radio 93.7 Efm, baada ya kufanya shindano hili katika mkoa wa Dar es salaam katika wilaya za Temeke, Ilala na Kinondoni sasa imeenda mkoa wa Pwani na siku ya jumapili ya tarehe 03/07/2016 iliwafikia wakazi wa Mkuranga katika viwanja vya shule ya sekondari ya Mwinyi. ambapo wakazi wengi wa mji huo walijitokeza kushiriki shindano hilo.
Baadhi ya wakazi wa Mkuranga wakiwa katika harakati ya saka saka katika eneo husika, kidubwasha kilichofichwa.
Washiriki wakiwa wanasubiri kukaguliwa kuwa kile walicho kisakasaka nichenyewe.
Meneja utafiti na ubunifu aki hakiki kidubwasha cha moja ya washiriki wa saka saka.
Mshindi wa milioni 2, Bi Zalina Abusheikh kulia akiwa anahojiwa na mtangazaji Chogo kushoto.





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...