| Madawati yaliyotengenezwa kwa pesa za mfuko wa jimbo la Kilolo ambayo mbunge wake Mhe. Venance Mwamoto ameyakataa kutokana na kukosa ubora ukilinganisha na thamani ya pesa iliyotumika |
| Mbunge Mwamoto katikati akikimbia kwenda kukagua madawati katika kijiji cha Nyanzwa leo |
Mbunge wa Kilolo Mhe. Venance Mwamoto akikagua madawati yaliyotengenezwa kwa pesa za mfuko wa jimbo.
|


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...