Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akizungumza na wananchi wa Mwandege wakati hafla ya kukabidhi madawati 100 kwa shule ya msingi Kipala katika kijiji cha Mwandege Wilaya Mkuranga mkoani Pwani leo.
Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akikabidhi moja ya dawati Mwalimu Mkuu shule ya Kipala,Ramadhan Haji katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya shule ya msingi kipala leo.
Sehemu ya wanafunzi wakiwa wamekaa katika madawati mapya yalikabidhiwa na mbunge wa jimbo la Mkuranga leo katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya shule ya msingi kipala.
(Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...