Baadhi ya wachezaji wa timu ya Medeama ya Ghana wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shilikisho la Afrika CAF dhidi ya Yanga, Mchezo unao tarajiwa kuchezwa kesho Uwanja wa Taifa Dar es Salaam huku kiingilio kikiwa ni kati ya 3,000 na 10,000. timu ya Yanga imeshusha viingilio hivyo kwa lengo la kufanya mashabiki wengi wahudhurie mchezo huo. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)
Home
Unlabelled
MEDEAMA KUTOKA GHANA YAWASILI JIJINI DAR, KUKIPIGA NA YANGA KESHO TAIFA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...