Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Dkt. Binilith Mahenge (mwenye shati jeupe) akiwa ndani ya Mtumbwi akivuka Mto Ruvuma kutoka kijiji cha Mkenda Songea kwenda kijiji cha Mitomoni wilaya ya Nyasa, kwenda kutembelea familia za watu tisa waliofariki dunia kufuatia ajali ya Maji kwenye Mto huo, walipokuwa wakivuka.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Dkt. Binilith Mahenge akiwafariji wafiwa katika kijiji cha Mitomoni wilaya ya Nyasa.




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...