Nyota wa soka aliyefanya vizuri michezo ya Shule za Sekondari (UMISETTA) Mussa Bakari akifurahia na wenzake alioungana nao katika kambi ya Kimataifa ya Copa Coca-Cola iliyopo jijini Paris nchini Ufaransa.
Musa Bakari akiwa katika nyuso ya furaha ndani ya kambi ya Kimataifa ya Copa Coca-Cola iliyopo jijini Paris nchini Ufaransa.
Bakari (16), mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya Sekondari Tirav iliyoko wilayani Temeke, ambaye amepata nafasi hiyo kwa udhamini wa Kampuni ya Coca-Cola. Kambi ya Kimataifa ya Copa Coca-Cola imefanyika kuanzia 29 June hadi Jumatatu 4 Julai 2016.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...