Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkongwe wa Filamu za Kihindi Bw.Kunal Kapoor aliyefuatana na Msimamizi wa Ofisi ya Utalii ya Zanzibar Mumbai,Nchini India Bw.Jilesh Babla walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo kwa Mazungumzo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na mgeni wake Mkongwe wa Filamu za Kihindi Bw.Kunal Kapoor (katikati) aliyefuatana na Msimamizi wa Ofisi ya Utalii ya Zanzibar Mumbai,Nchini India Bw.Jilesh Babla (kushoto) walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. Picha na IKULU, Zanzibar




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...