Home
Unlabelled
Rais Magufuli aombewa Dua na Kijana Omary Abdallah
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Safi sana hii ndio Tanzania yetu amani na furaha
ReplyDeleteThe mdudu, Asante sana ndugu Omary huo ndio uzalendo wasio mpenda rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli washindwe na walegee kama mrenda
ReplyDeleteabsolutely. God Bless Tanzania
ReplyDeleteHuyu kijana hata mimi naomuona ni wa kujivunia. He did the right thing. God Bless him
ReplyDeletehahahahahaha sound like joke but heart touching!! Mheshimiwa naondoka jamani
ReplyDeleteSafi sana kaka ,harafu sala yake fupi lakini imehusisha watu wote,watu kama hawa ndio wanatakiwa kuwa kwenye kamati za kudumisha umoja/Amani maana unaona hata energy aliyonayo unapenda kumsikiliza. watu wengine wanavipaji lakini huwa hawavioni mpaka watu wakuambie.kaka Omary unakipaji cha kuongea vizuri, kuweka watu pamoja, na energy ya kufanya watu wafurahie kukusikiliza .
ReplyDeleteSafiii saanaaaa!!! Magufuli Oyeeeee!!
ReplyDeleteHuyu kaka anakipaji cha kuweka mawazo yake pamoja kwa muda mfupi aliopewa. Nimempenda alivyoonyesha furaha na ucheshi huku akifikisha ujumbe.
ReplyDeleteMungu ibarikia Tanzania na watu wake.