Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt Medard Kalemani (katikati), akimwagiza Kaimu Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mkoa wa Katavi, Wambura Nsiku, kuondoa nyaya za umeme zilizotelekezwa na Mkandarasi eneo la Wachawaseme, Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, alipokuwa katika ziara ya kazi mkoani humo hivi karibuni.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt Medard Kalemani (Kushoto) akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Mtakuja wilayani Mlele, Mkoa wa Katavi, aliposimama kuwasalimia akiwa katika ziara ya kazi mkoani humo hivi karibuni.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt Medard Kalemani akizungumza na wananchi wa Inyongi wilayani Mlele, Mkoa wa Katavi, akiwa katika ziara ya kazi mkoani humo hivi karibuni.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...