VIONGOZI wa Chuo cha Acharya cha Nchini India wawakutanisha watanzania waliosoma katika chuo Acharya jijini Dar es Salaam leo.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo Mwenyekiti wa Chuo Acharya huko nchini India, Premnath Reddy amesema kuwa wapo tayari kuwasaidia wanafunzi waliosoma katika chuo cha Acharya watakaoanzisha wazo zuri la biashara.
"Tupo tayari kusaidia wanafunzi watakao kuwa na wazo zuri la kibiashara kwa wanafunzi waliosoma nchini India katika chuo cha Acharya " Amesema Reddy.
Hayo amesema kwa wanafunzi hao ili kutokuteemea kuajiliwa tuu na waweze kujiajili wenyewe kutokana na elimu waliyoipata wakiwa chuoni.
Mwananfunzi aliyesoma kuchu cha Acharya nchini India, Sakina Naushad Karmali akizunguma jijini Dar es Salaam na wanafunzi waliosoma katika chuo cha Acharya.
Mwenyekiti wa Chuo Acharya huko nchini India, Premnath Reddy akizungumza na wanafunzi wa hapa nchini waliosoma chuo cha Acharya kwanzia mwaka 2009 hadi mwaka huu katika hafla fupi iliyowakutanisha jijini Dar es Salaam na kula na kunywa pamoja.
Mwanafunzi wa chuo cha Acharya akizungumza katika mjumuiko wa wanafunzi wa chuo chao jijini Dar es Salaam.





Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...