Wanafunzi wa Madrasatul Ibadul- Rahaman Mwanakwerekwe C Unguja wakisoma Maulidi wakati wa hafla ya Iftar ilioandaliwa na Ubalozi wa Iran Nchini Tanzania katika hoteli ya Tembo, Shangani, Zanzibar.
Mkuu wa Kitengo cha Utamaduni Ubalozi wa Iran Tanzania Shekh. Ali Baghari akitowa salamu za Wananchi wa Iran wakati wa Iftari hiyo ilioandaliwa na Ubalozo wa Iran Tanzania katika ukumbi wa hoteli ya Tembo Shangani Zanzibar.
Profesha Shariff akizungumza wakati wa hafla hiyo ya Iftar ilioandaliwa na Ubalozi wa Iran Tanzania katika ukumbi wa hoteli ya Tembo Shangani Zanzibar.
Katibu wa Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar Shekh Fadhil Soraga akitowa mawaidha wakati wa hafla hiyo ya Iftar ilioandaliwa na Ubalozi wa Iran.
Shekh. Salim Mohammed Hassan Al Qadin Mkurugenzi wa Taasisi isiyo ya Kiserekali ya ZAHCO, Mratibu wa hafla hiyo ya Iftar akitowa shukrani kwa Wageni. Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...