Mkurugenzi wa Utawala wa Utumishi wa Umma, Bw. Nyakimura Muhoji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma (kulia) akifafanua jambo kuhusiana na masuala mbalimbali ya kiutumishi wakati wa Kipindi cha “Morning Trumpet “ kinachorushwa na AZAM TV. Katikati ni Mkurugenzi wa Undelezaji Sera wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw. Mathias Kabunduguru na kushoto ni Mtangazaji wa kipindi hicho Bw. Faraja Sendegeya.
Mkurugenzi wa Undelezaji Sera wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Bw. Mathias Kabunduguru akitoa ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya kiutumishi wakati wa Kipindi cha “Morning Trumpet “kinachorushwa na AZAM TV. Kulia ni Mkurugenzi wa Utawala wa Utumishi wa Umma, Bw. Nyakimura Muhoji wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na kushoto ni Mtangazaji wa kipindi hicho Bw. Faraja Sendegeya.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...