Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye (kushoto) akiwasili katika Ofisi ya British Council Tanzania kwa ajili ya kuzindua Fursa ya Sanaa inayodhaminiwa na British Council Tanzania 11 Julai, 2016 Jijini Dar es Salaam.Kulia ni mwenyejji wake ambaye ni Kaimu Mkurugenzi British Council Tanzania, Bi. Nesia Mahenge. 
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye akiwahutubia wageni waalikwa pamoja na wanahabari kabla ya kuzindua Fursa ya Sanaa inayodhaminiwa na British Council Tanzania 11 Julai, 2016 Jijini Dar es Salaam. 
Kaimu Mkurugenzi British Council Tanzania, Bi. Nesia Mahenge akiwahutubia wageni waalikwa pamoja na wanahabari wakati wa Uzinduzi wa Fursa ya Sanaa inayodhaminiwa na British Council Tanzania 11 Julai, 2016 Jijini Dar es Salaam.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...