Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe (katikati) akizungumza na Balozi wa Finland hapa nchini, Pekka Hukka (kulia) alipotembelewa na Balozi huyo ofisini kwake, Mpingo House taerehe 12 Julai, 2016. Kushoto ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa TFS, Richard Kamwenda.
Balozi wa Finland hapa nchini, Pekka Hukka (kulia), akifafanua jambo wakati wa mazungumzo na Waziri wa Maliasili Prof. Jumanne Maghembe (wa pili kulia) alipomtembelea ofisini kwake kujadili mambo mbalimbali yanayohusu Uhifadhi wa Maliasili na uendelezaji wa sekta ya Misitu nchini. Kushoto ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa TFS, Richard Kamwenda.(Picha na Hamza Temba - Wizara ya Maliasili na Utalii)


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...